Methali 20:19
Methali 20:19 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Maneno ya kusengenya husababisha kutokuaminika, kwa hiyo mwepuke mtu anayezungumza kupita kiasi.
Shirikisha
Soma Methali 20Methali 20:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpiga domo hafichi siri, kwa hiyo mwepe mtu wa kuropoka.
Shirikisha
Soma Methali 20