Methali 20:22
Methali 20:22 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!” Mngojee BWANA, naye atakuokoa.
Shirikisha
Soma Methali 20Methali 20:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Usiseme, “Nitalipiza ubaya niliotendewa.” Mtegemee Mwenyezi-Mungu naye atakusaidia.
Shirikisha
Soma Methali 20