Methali 20:7
Methali 20:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mtu mwenye haki huishi maisha yasiyo na lawama, wamebarikiwa watoto wake baada yake.
Shirikisha
Soma Methali 20Methali 20:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu mwadilifu akiishi kwa unyofu; watoto wake atakaowaacha watabarikiwa.
Shirikisha
Soma Methali 20Methali 20:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenye haki aendaye katika unyofu wake, Watoto wake wabarikiwa baada yake.
Shirikisha
Soma Methali 20