Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Methali 25:18 - Linganisha Matoleo Yote

Methali 25:18 BHN (Biblia Habari Njema)

Mtu atoaye ushahidi wa uongo dhidi ya mwenziwe, ni hatari kama rungu, upanga au mshale mkali.

Shirikisha
Methali 25 BHN

Methali 25:18 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Mtu amshuhudiaye jirani yake uongo Ni nyundo, na upanga, na mshale mkali.

Shirikisha
Methali 25 SUV

Methali 25:18 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Mtu amshuhudiaye jirani yake uongo Ni nyundo, na upanga, na mshale mkali.

Shirikisha
Methali 25 SRUV

Methali 25:18 NEN (Neno)

Kama vile rungu au upanga au mshale mkali ndivyo alivyo mtu atoaye ushuhuda wa uongo dhidi ya jirani yake.

Shirikisha
Methali 25 NEN