Methali 26:11
Methali 26:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpumbavu anayerudiarudia upumbavu wake, ni kama mbwa anayekula matapishi yake.
Shirikisha
Soma Methali 26Methali 26:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena.
Shirikisha
Soma Methali 26