Methali 26:17
Methali 26:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Ajiingizaye katika ugomvi usiomhusu, ni kama mtu amshikaye masikio mbwa anayepita.
Shirikisha
Soma Methali 26Methali 26:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu apitaye na kujisumbua kwa ugomvi usio wake; Ni kama mtu ashikaye mbwa kwa masikio yake.
Shirikisha
Soma Methali 26