Methali 26:27
Methali 26:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Amchimbiaye mwenzake shimo, hutumbukia mwenyewe; abingirishaye jiwe litamrudia mwenyewe.
Shirikisha
Soma Methali 26Methali 26:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Achimbaye shimo atatumbukia mwenyewe; Naye abingirishaye jiwe litamrudia.
Shirikisha
Soma Methali 26