Methali 26:4-5
Methali 26:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye. Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi.
Shirikisha
Soma Methali 26Methali 26:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye. Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.
Shirikisha
Soma Methali 26