Methali 27:15
Methali 27:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kutona-tona daima siku ya mvua nyingi, Na mwanamke mgomvi ni sawasawa
Shirikisha
Soma Methali 27Methali 27:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Mke mgomvi daima, ni sawa na tonatona ya maji siku ya mvua.
Shirikisha
Soma Methali 27