Methali 27:17
Methali 27:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Chuma hunoa chuma; Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake.
Shirikisha
Soma Methali 27Methali 27:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Chuma hunoa chuma, kadhalika mtu hufundishwa na wenzake.
Shirikisha
Soma Methali 27