Methali 27:19
Methali 27:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kama uso ufananavyo na uso katika maji; Kadhalika moyo wa mtu na mwenzake.
Shirikisha
Soma Methali 27Methali 27:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama uso ujionavyo wenyewe majini, ndivyo ujijuavyo mwenyewe moyoni.
Shirikisha
Soma Methali 27