Methali 28:23
Methali 28:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Amwonyaye mwenzake hatimaye hupata mema zaidi, kuliko yule anayembembeleza kwa maneno matamu.
Shirikisha
Soma Methali 28Methali 28:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amkemeaye mwenzake hatimaye atapata kibali; Zaidi ya mtu ajipendekezaye kwa ulimi wake.
Shirikisha
Soma Methali 28