Methali 28:27
Methali 28:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliye mkarimu kwa maskini hatatindikiwa kitu, lakini anayekataa kuwaangalia atalaaniwa kwa wingi.
Shirikisha
Soma Methali 28Methali 28:27 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Yeye ampaye maskini hatapungukiwa na kitu chochote, bali yeye awafumbiaye maskini macho hupata laana nyingi.
Shirikisha
Soma Methali 28