Methali 3:13-14
Methali 3:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri mtu anayegundua hekima, mtu yule anayepata ufahamu. Hekima ni bora kuliko fedha, ina faida kuliko dhahabu.
Shirikisha
Soma Methali 3Methali 3:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri mtu yule aonaye hekima, Na mtu yule apataye ufahamu. Maana biashara yake ni bora kuliko biashara ya fedha, Na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi.
Shirikisha
Soma Methali 3