Methali 3:3
Methali 3:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Utii na uaminifu visitengane nawe. Vifunge shingoni mwako; viandike moyoni mwako.
Shirikisha
Soma Methali 3Methali 3:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Rehema na kweli zisifarakane nawe; Zifunge shingoni mwako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.
Shirikisha
Soma Methali 3