Methali 3:5-6
Methali 3:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtumaini Mwenyezi-Mungu kwa moyo wako wote, wala usitegemee akili zako mwenyewe. Umtambue Mungu katika kila ufanyalo, naye atazinyosha njia zako.
Shirikisha
Soma Methali 3Methali 3:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
Shirikisha
Soma Methali 3Methali 3:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
Shirikisha
Soma Methali 3