Methali 3:9-10
Methali 3:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mheshimu Mwenyezi-Mungu kwa mali yako, na kwa malimbuko ya mazao yako yote. Hapo ghala zako zitajaa nafaka, na mapipa yako yatafurika divai mpya.
Shirikisha
Soma Methali 3Methali 3:9-10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mheshimu BWANA kwa mali yako, Na kwa malimbuko ya mazao yako yote. Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi, Na mashinikizo yako yatafurika divai mpya.
Shirikisha
Soma Methali 3