Methali 31:12 - Linganisha Matoleo Yote
Methali 31:12 BHN (Biblia Habari Njema)
Kamwe hamtendei mumewe mabaya, bali humtendea mema maisha yake yote.
Shirikisha
Methali 31 BHNMethali 31:12 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.
Shirikisha
Methali 31 SUVMethali 31:12 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.
Shirikisha
Methali 31 SRUVMethali 31:12 NEN (Neno)
Humtendea mumewe mema, wala si mabaya, siku zote za maisha yake.
Shirikisha
Methali 31 NEN