Methali 31:17 - Linganisha Matoleo Yote
Methali 31:17 BHN (Biblia Habari Njema)
Huwa tayari kufanya kazi kwa nguvu na kuiimarisha mikono yake.
Shirikisha
Methali 31 BHNMethali 31:17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu.
Shirikisha
Methali 31 SUVMethali 31:17 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu.
Shirikisha
Methali 31 SRUVMethali 31:17 NEN (Neno)
Hufanya kazi zake kwa nguvu, mikono yake ina nguvu kwa ajili ya kazi zake.
Shirikisha
Methali 31 NEN