Methali 5:21
Methali 5:21 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za BWANA, naye huyapima mapito yake yote.
Shirikisha
Soma Methali 5Methali 5:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumbuka njia za mtu zi wazi mbele ya Mwenyezi-Mungu; yeye anaona kila hatua anayochukua binadamu.
Shirikisha
Soma Methali 5