Methali 5:3-4
Methali 5:3-4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba hudondoza asali, na maneno ya kinywa chake ni laini kuliko mafuta; lakini mwisho wake ni mchungu kama nyongo, mkali kama upanga ukatao kuwili.
Shirikisha
Soma Methali 5Methali 5:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mdomo wa mwanamke mpotovu ni mtamu kama asali, maneno yake ni laini kuliko mafuta; lakini hatimaye ni mchungu kama pakanga, ni mkali kama upanga wenye makali kuwili.
Shirikisha
Soma Methali 5