Methali 6:16 - Linganisha Matoleo Yote
Methali 6:16 BHN (Biblia Habari Njema)
Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake
Shirikisha
Methali 6 BHNMethali 6:16 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA; Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake.
Shirikisha
Methali 6 SUVMethali 6:16 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA; Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake.
Shirikisha
Methali 6 SRUVMethali 6:16 NEN (Neno)
Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA, naam, viko saba vilivyo chukizo kwake
Shirikisha
Methali 6 NEN