Methali 7:2-3
Methali 7:2-3 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Shika amri zangu nawe utaishi; linda mafundisho yangu kama mboni ya jicho lako. Yafunge katika vidole vyako; yaandike katika kibao cha moyo wako.
Shirikisha
Soma Methali 7Methali 7:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Zifuate amri zangu nawe utaishi; yalinde mafundisho yangu kama mboni ya jicho lako. Yafunge vidoleni mwako; yaandike moyoni mwako.
Shirikisha
Soma Methali 7