Methali 8:13
Methali 8:13 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kumcha BWANA ni kuchukia uovu; ninachukia kiburi na majivuno, tabia mbaya na mazungumzo potovu.
Shirikisha
Soma Methali 8Methali 8:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni kuchukia uovu. Nachukia kiburi, majivuno na maisha mabaya; nachukia na lugha mbaya.
Shirikisha
Soma Methali 8