Methali 9:7
Methali 9:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Amkemeaye mwenye dharau hujipatia fedheha; Amkaripiaye mtu mbaya hujipatia aibu.
Shirikisha
Soma Methali 9Methali 9:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayemkosoa mwenye dharau hupata matusi, amkaripiaye mwovu huishia kwa kuumizwa.
Shirikisha
Soma Methali 9