Methali 9:9
Methali 9:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwelimishe mwenye hekima, naye atazidi kuwa na hekima; Mfundishe mwenye haki, naye atazidi kuwa na elimu
Shirikisha
Soma Methali 9Methali 9:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfunze mwenye hekima naye atazidi kuwa na hekima; mfundishe mwadilifu naye atazidi kuelimika.
Shirikisha
Soma Methali 9