Zaburi 10:17-18
Zaburi 10:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, wapokea dua za mnyonge; wampa moyo na kumtegea sikio. Utawatendea haki yatima na wanaodhulumiwa, binadamu aliye udongo asiweze tena kuleta hofu.
Shirikisha
Soma Zaburi 10Zaburi 10:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA, utayasikia matakwa ya wanyonge, Uutaidhibiti mioyo yao, utalitega sikio lako. Ili kumhukumu yatima na aliyeonewa, Binadamu aliye udongo asizidi kudhulumu.
Shirikisha
Soma Zaburi 10