Zaburi 100:2
Zaburi 100:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mtumikieni BWANA kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba
Shirikisha
Soma Zaburi 100Zaburi 100:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwabuduni Mwenyezi-Mungu kwa furaha, nendeni kwake mkiimba kwa shangwe!
Shirikisha
Soma Zaburi 100