Zaburi 100:5
Zaburi 100:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa maana BWANA ni mwema na upendo wake wadumu milele; uaminifu wake unadumu kwa vizazi vyote.
Shirikisha
Soma Zaburi 100Zaburi 100:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ni mwema; fadhili zake zadumu milele, na uaminifu wake katika vizazi vyote.
Shirikisha
Soma Zaburi 100