Zaburi 101:3
Zaburi 101:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Sitaweka mbele ya macho yangu Neno la uovu. Kazi yao waliopotoka naichukia, Haitaambatana nami.
Shirikisha
Soma Zaburi 101Zaburi 101:3 Biblia Habari Njema (BHN)
sitavumilia kamwe upuuzi. Nayachukia matendo ya watu wapotovu, mambo yao hayataambatana nami.
Shirikisha
Soma Zaburi 101