Zaburi 102:2
Zaburi 102:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Usijifiche mbali nami wakati wa taabu! Unitegee sikio lako, unijibu upesi wakati ninapokuomba!
Shirikisha
Soma Zaburi 102Zaburi 102:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Usinifiche uso wako siku ya shida yangu, Unitegee sikio lako, siku niitapo unijibu upesi.
Shirikisha
Soma Zaburi 102