Zaburi 103:10-11
Zaburi 103:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hakututenda kulingana na hatia zetu, Wala hakutulipa kwa kadiri ya maovu yetu. Maana, kama mbingu zilivyoinuka juu ya nchi, Ndivyo fadhili zake zilivyo kuu kwa wamchao.
Shirikisha
Soma Zaburi 103Zaburi 103:10-11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hakututenda sawasawa na hatia zetu, Wala hakutulipa kwa kadiri ya maovu yetu. Maana mbingu zilivyoinuka juu ya nchi, Kadiri ile ile rehema zake ni kuu kwa wamchao.
Shirikisha
Soma Zaburi 103