Zaburi 103:13-14
Zaburi 103:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake, Ndivyo BWANA anavyowahurumia wamchao. Kwa maana Yeye anatujua umbo letu, Na kukumbuka ya kuwa sisi tu mavumbi.
Shirikisha
Soma Zaburi 103Zaburi 103:13-14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake, Ndivyo BWANA anavyowahurumia wamchao. Kwa maana Yeye anatujua umbo letu, Na kukumbuka ya kuwa sisi tu mavumbi.
Shirikisha
Soma Zaburi 103