Zaburi 104:1
Zaburi 104:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Wewe, BWANA, Mungu wangu, Umejifanya mkuu sana; Umejivika heshima na adhama.
Shirikisha
Soma Zaburi 104Zaburi 104:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Umsifu Mwenyezi-Mungu, ee nafsi yangu! Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, wewe ni mkuu mno! Umejivika utukufu na fahari.
Shirikisha
Soma Zaburi 104