Zaburi 115:11
Zaburi 115:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi mnaomcha Mwenyezi-Mungu, mtumainini, yeye ndiye msaada wenu na ngao yenu.
Shirikisha
Soma Zaburi 115Zaburi 115:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Enyi mmchao BWANA, mtumainini BWANA; Yeye ni msaada wao na ngao yao.
Shirikisha
Soma Zaburi 115