Zaburi 118:6
Zaburi 118:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu yuko nami, siogopi kitu; binadamu ataweza kunifanya nini?
Shirikisha
Soma Zaburi 118Zaburi 118:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA yuko upande wangu, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini?
Shirikisha
Soma Zaburi 118