Zaburi 119:28
Zaburi 119:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Niko hoi kwa uchungu; unirudishie nguvu kama ulivyoahidi.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nafsi yangu imeyeyuka kwa huzuni, Unitie nguvu sawasawa na neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119