Zaburi 119:34
Zaburi 119:34 Biblia Habari Njema (BHN)
Unieleweshe nipate kuishika sheria yako, niifuate kwa moyo wangu wote.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Unifahamishe nami nitaishika sheria yako, Naam, nitaitii kwa moyo wangu wote.
Shirikisha
Soma Zaburi 119