Zaburi 125:1
Zaburi 125:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wale wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni, ambao hauwezi kutikisika, bali wadumu milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 125Zaburi 125:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Wanaomtegemea Mwenyezi-Mungu, wako kama mlima Siyoni, ambao hautikisiki bali wabaki imara daima.
Shirikisha
Soma Zaburi 125