Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 128:5 - Linganisha Matoleo Yote

Zaburi 128:5 BHN (Biblia Habari Njema)

Mwenyezi-Mungu akubariki kutoka Siyoni! Uione fanaka ya Yerusalemu, siku zote za maisha yako.

Shirikisha
Zaburi 128 BHN

Zaburi 128:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

BWANA akubariki toka Sayuni; Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako

Shirikisha
Zaburi 128 SUV

Zaburi 128:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)

BWANA akubariki toka Sayuni; Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako

Shirikisha
Zaburi 128 SRUV

Zaburi 128:5 NEN (Neno)

BWANA na akubariki kutoka Sayuni siku zote za maisha yako, na uone mafanikio ya Yerusalemu

Shirikisha
Zaburi 128 NEN