Zaburi 138:7
Zaburi 138:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nijapokwenda kati ya shida utanihuisha, Utanyosha mkono juu ya hasira ya adui zangu, Na mkono wako wa kuume utaniokoa.
Shirikisha
Soma Zaburi 138Zaburi 138:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nijapopita katikati ya shida, wewe unayahifadhi maisha yangu, unanyoosha mkono wako dhidi ya hasira ya adui zangu, kwa mkono wako wa kuume unaniokoa.
Shirikisha
Soma Zaburi 138