Zaburi 138:8
Zaburi 138:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA atanitimilizia mambo yangu; Ee BWANA, fadhili zako ni za milele; Usiziache kazi za mikono yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 138Zaburi 138:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, utatimiza yote uliyoniahidi. Fadhili zako, ee Mwenyezi-Mungu, zadumu milele. Usisahau kazi ya mkono wako mwenyewe.
Shirikisha
Soma Zaburi 138