Zaburi 139:13
Zaburi 139:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe umeniumba, mwili wangu wote; ulinitengeneza tumboni mwa mama yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana Wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu, Uliniunga tumboni mwa mama yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana Wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu, Uliniunga tumboni mwa mama yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 139