Zaburi 139:2
Zaburi 139:2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Unajua ninapoketi na ninapoinuka; unatambua mawazo yangu tokea mbali.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nikiketi au nikisimama, wewe wajua; wajua kutoka mbali kila kitu ninachofikiria.
Shirikisha
Soma Zaburi 139