Zaburi 139:4
Zaburi 139:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana hamna neno ulimini mwangu Usilolijua kabisa, BWANA.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Kabla sijasema neno lolote, wewe, ee Mwenyezi-Mungu, walijua kabisa.
Shirikisha
Soma Zaburi 139