Zaburi 140:4
Zaburi 140:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, unilinde Kutoka kwa mikono ya mtu asiye haki; Unihifadhi na watu wajeuri; Waliopanga kuniangusha.
Shirikisha
Soma Zaburi 140Zaburi 140:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee BWANA, unilinde na mikono ya mtu asiye haki; Unihifadhi na mtu wa jeuri; Waliowaza kuzipotosha hatua zangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 140