Zaburi 142:5
Zaburi 142:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA, nimekuita nikasema, Ndiwe kimbilio langu, Fungu langu katika nchi ya walio hai.
Shirikisha
Soma Zaburi 142Zaburi 142:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Nakulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu! Wewe ni kimbilio langu la usalama; wewe ni riziki yangu kuu katika nchi ya walio hai.
Shirikisha
Soma Zaburi 142