Zaburi 142:6
Zaburi 142:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ukisikilize kilio changu, Kwa maana nimedhilika sana. Uniponye nao wanaonifuatia, Kwa maana wao ni hodari kuliko mimi.
Shirikisha
Soma Zaburi 142Zaburi 142:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Usikilize kilio changu, maana nimekuwa hoi; uniokoe na watesi wangu, maana wamenizidi nguvu.
Shirikisha
Soma Zaburi 142