Zaburi 142:7
Zaburi 142:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Uitoe nafsi yangu kifungoni. Nipate kulishukuru jina lako. Wenye haki watanizunguka, Kwa kuwa Wewe unanikirimu.
Shirikisha
Soma Zaburi 142Zaburi 142:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Unitoe humu kifungoni, ili nipate kukushukuru. Watu waadilifu watajiunga nami kwa sababu umenitendea mema mengi.
Shirikisha
Soma Zaburi 142