Zaburi 143:11
Zaburi 143:11 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ee BWANA, kwa ajili ya jina lako, hifadhi maisha yangu, kwa haki yako nitoe katika taabu.
Shirikisha
Soma Zaburi 143Zaburi 143:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Unifadhili, ee Mwenyezi-Mungu, kwa hisani yako, uniondoe katika taabu kwa sababu ya uadilifu wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 143